Uongozi wa Wolper washangaa msanii wao kuhusishwa kwenye show ya Harmonize (Video)
Baada ya msanii wa muziki, Harmonize kutangaza show yake ‘Kusi Night’ akiwa na Jack Wolper, Bongo5 ilimtafuta Wolper lakini hakupatikana na baadaye alipatikana meneja wake ambaye alikanusha taarifa hizo na kuenda mbali zaidi kwamba wao kama ofisi hawalitambui suala hilo.
Comments
Post a Comment