Aslay afunguka siri ya kutoa hit baada ya hit na mpango kwenda Kimataifa
Msanii wa muziki ambaye anafanya vizuri kwa sasa, Aslay amefunguka kuzungumzia mbinu anayotumia katika kuandika ngoma zake kutokana na nyimbo zake nyingi kufanya vizuri. Muimbaji
huyo ambaye atakuwa ni mmoja kati wasanii ambao watafanya show katika Tamasha la Sport&Music Festival mkoani Mwanza, amesema katika uandishi wa ngoma zake anazingatia kuzungumzia ya watu ambao anaishi nao.

Comments
Post a Comment