Ishu ya umri katika mapenzi yamshangaza Zari, ‘Watu na vibabu vyenu’
Zari amesema lakini jamii haishangai pindi mwanamke mdogo anapokuwa na mahusiano na mtu mzima zaidi. Kupitia mtandao wa Snapchart ameandika;
Utambuka Zari na Diamond wamewahi kuwa katika mahusiano na kujaliwa kupata watoto wawili na inafahamika Zari ni mkubwa kwa Diamond. Baada ya kuachana kwao hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinadai kuwa wamerudiana ila hakuna kati yao aliyethibitisha hilo.Mzazi mwenza wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameelezwa kushangazwa na jinsi jamii inavyomchukulia mwanamke mwenye umri mkubwa kuwa na mahusiano na kijana mdogo wa kiume.Sitting here and thinking. Society is so quick to judge an older woman dating a young guy, but not a 40+ guy dating a 19 yr old. so tyical! Watu na vibabu vyenu.
Comments
Post a Comment