MTONYO AMETOA SABABU ZA KUSITISHA KUSAMBAZA FILM YAKE

Msanii wa zenji movie mtonyo ametoa sababu za kusitisha film yake iliyotoka miezi miwili iliyopita mtonyo amesema ameamua kusitisha film yake ilikupisha mwezi mtukufu wa ramadhani

Image may contain: 1 person, smiling
Mtonyo amewataka mashabiki wake ambao bado hawajabahatika kuiona film hiyo wakae tayari muda sio mrefu itaanza kupatikana tanzania nzima film hiyo iliyopewa jina la miezi tisa
imefanyika zanzabar na inamafundisho .

Comments

Popular posts from this blog

Nandy adai amekatazwa na Boyfriend wake kumzungumzia Bill Nass, kisa?