Belle 9 asema hupenda warembo wenye ‘Wowowo’ katika video zake
Muimbaji huyo ameiambia Wasafi TV kuwa huwa anapenda warembo wa ina hiyo kutokea kwenye video zake.
Utakumbuka wimbo wa Dada ndio wa kwanza kwa Belle 9 kutoa kwa mwaka huu tangu pale alipotoa wimbo uitwao Ma-Ole ambao alishirikiana na G Nako. Video ya Dada ilitoka May 26, 2018 na hadi sasa ina views 195,428 katika mtandao wa YouTube.Msanii wa Bongo Flava, Belle 9 amesema mrembo anayeonekana kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Dada’ yeye ndiye aliyemchagua.
Comments
Post a Comment