Mzazi mwenzie na Shilole afariki dunia
Mzazi mwenzie na Shilole, Elias Makala ambaye wamepata bahati ya kuzaa naye mtoto wake wa kwanza amefariki dunia ghafla huko Igunga mkoani Tabora.
Shilole amesema kuwa marehemu alikuwa mzima wa afya na mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa ni miezi miwili iliyopita.
Marehemu Elias na Shilole wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike aitwaje Joyce Godfrey (14) ambaye pia ndio mtoto wa kwanza wa Shilole
Comments
Post a Comment