Posts

Showing posts from June, 2018

MUSIC VIDEO - NASSIR VANILLA FT FRAGA -USIBADILIKE

Image

WASANII HAWA WATAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJA USIKU WA KIMEWAKA

Image
Kuelekea miaka minane na uzinduzi wa video ya kimewaka ya mkali wa hip hop zanzibar chaby six mashine

MTONYO AMETOA SABABU ZA KUSITISHA KUSAMBAZA FILM YAKE

Image
Msanii wa zenji movie mtonyo ametoa sababu za kusitisha film yake iliyotoka miezi miwili iliyopita mtonyo amesema ameamua kusitisha film yake ilikupisha mwezi mtukufu wa ramadhani

Ishu ya umri katika mapenzi yamshangaza Zari, ‘Watu na vibabu vyenu’

Image
Zari amesema lakini jamii haishangai pindi mwanamke mdogo anapokuwa na mahusiano na mtu mzima zaidi. Kupitia mtandao wa Snapchart ameandika; Sitting here and thinking. Society is so quick to judge an older woman dating a young guy, but not a 40+ guy dating a 19 yr old. so tyical! Watu na vibabu vyenu. Utambuka Zari na Diamond wamewahi kuwa katika mahusiano na kujaliwa kupata watoto wawili na inafahamika Zari ni mkubwa kwa Diamond. Baada ya kuachana kwao hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinadai kuwa wamerudiana ila hakuna kati yao aliyethibitisha hilo. Mzazi mwenza wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameelezwa kushangazwa na jinsi jamii inavyomchukulia mwanamke mwenye umri mkubwa kuwa na mahusiano na kijana mdogo wa kiume.

MUSIC VIDEO -FAAY BABY -NAKUCHANA

Aslay afunguka siri ya kutoa hit baada ya hit na mpango kwenda Kimataifa

Image
Msanii wa muziki ambaye anafanya vizuri kwa sasa, Aslay amefunguka kuzungumzia mbinu anayotumia katika kuandika ngoma zake kutokana na nyimbo zake nyingi kufanya vizuri. Muimbaji  huyo ambaye atakuwa ni mmoja kati wasanii ambao watafanya show katika Tamasha la Sport&Music Festival mkoani Mwanza, amesema katika uandishi wa ngoma zake anazingatia kuzungumzia   ya watu ambao anaishi nao.

Nandy adai amekatazwa na Boyfriend wake kumzungumzia Bill Nass, kisa?

Image
Msanii wa muziki Bongo, Nandy amedai kuwa amekatazwa na Boyfriend wake kuzungumzia kile kilichotokea kati yake na Bill nass Muimbaji huyo ameiambia U-Head, Clouds FM kuwa hata alipokuwa katika media tour nchini Kenya ni kitu ambacho alikuwa anaulizwa mara kwa mara na kukiri kuwa kilikuwa kinamsumbua. “Kawaida nimefanya interview hayo maswali yalikuwepo, hakikuwa kitu kidogo kilienda mbali sana na kilinisumbua kiukweli lakini yameshapita,” amesema. “Unavyoniuliza maswali sijui ya Bill Nass nimeshakatazwa na Boyfrind wangu kuyaongelea mambo hayo,” amesisitiza Nandy. Utakumbuka April 12, 2018 Nandy na Bill Nass walikamata headlines za kiburudani Bongo hasa katika upande wa udaku kufuatia kuvuja kwa video yao ikiwaonesha wakiwa faragha. Suala hilo lilifika hadi bungeni na polisi waliweza kuwahoji wahusika. 

Taarifa ya kuumwa ya Sam wa Ukweli mpaka kifo chake

Image
Usiku wa kuamkia Alhamisi hii zilianza kuzagaa taarifa za majonzi za kifo cha msanii wa muziki, Sam Waukweli baada ya kuugua kwa muda mfupi. Kwa mujibu wa taarifa za awali muimbaji huyo alianza kuugua ghafla akiwa studio na baadaye kukimbizwa hospitali ya Palestina iliyopo Sinza Kinondoni jijini Dar es salaam kwaajili ya matibabu lakini muda mchache alifariki dunia. Akiongea na Millardayo usiku huo producer Steve Joniso ambaye alikuwa mara ya mwisho na marehumu, alisema wakati yupo studio akiandaa beat kwaajili ya wimbo wa Sam, muimbaji huyo alikuwa akilalamika kuumwa tumbo na baadaye alizidiwa na kukosa nguvu kabisa hali ambayo ilipelekea hata ashindwe kwenda chooni mwenyewe. “Ikabidi tumpeleke chooni huwezi amini chooni tulimtenga hawezi kukaa kwenyewe, sisi tukaona hii sio kawaida, tukamwambia Sam ngoja tutoe taarifa kwa ndugu zako, yeye anakataa msiwataarifu, hiyo inaenda saa moja usiku, mida ya saa mbili usiku tukaamua kuwapigia simu ndugu zake tukawataarifu mbwana Sam yup...

MUSIC VIDEO -RAYBO -NIMECHOKA

DIAMOND PLATNUMZ AKI PERFORM LONDON JUZI

Image
Angalia show ya diamond juzi london

Mmenitukania mwanangu hadi tumbo la uzazi limeniuma – Mama Hamisa Mobetto

Image
Mama Mazazi wa Hamisa Mobetto amevunja ukimya kwa kile kinachoendelea kwa sasa. Mama Hamisa amesema asingependa kuona mwanae anatukanwa mtandaoni kwani ni kitu kinachomuumiza sana. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika; Mmenitukania Mwanangu hadi Tumbo la Uzazi limeniuma   , natamani ningewazaa wawili ili ajifariji kwa mwenzie. Pia ningeomba familia zote zilizopo Instagram, Mpunguzieni matusi na kumdharilisha Mwanangu, kama kawakosea ninamwombea Msamaha mwezi huu mtukufu . . Mpeni Amani ili na mimi nifurahie furaha ya Uzazi wangu. Ni mwenyezi Mungu pekee huchagua barabara atakayopitia Mwanaadamu. Utakumbuka Hamisa Mobetto amekuwa katika mvutano na familia ya Diamond Platnumz mara baada ya hivi karibuni kuwepo na drama tele kuwa Diamond anarudiana na mzazi mwenzie, Zari The Boss Lady. Utakumbuka Hamisa na Diamond pia wana mtoto.

Belle 9 asema hupenda warembo wenye ‘Wowowo’ katika video zake

Image
Muimbaji huyo ameiambia Wasafi TV kuwa huwa anapenda warembo wa ina hiyo kutokea kwenye video zake. “Yule dada mimi ndio nilichagua mwenye maumbile kama yale, na mimi napenda kwenye video zangu watokee,” ameseme Belle 9. Utakumbuka wimbo wa Dada ndio wa kwanza kwa Belle 9 kutoa kwa mwaka huu tangu pale alipotoa wimbo uitwao Ma-Ole ambao alishirikiana na G Nako. Video ya Dada ilitoka May 26, 2018 na hadi sasa ina views 195,428 katika mtandao wa YouTube. Msanii wa Bongo Flava, Belle 9 amesema mrembo anayeonekana kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Dada’ yeye ndiye aliyemchagua.

NESTA MEDIA

Image
Music video -Msami -Vipi kwani

Kama mnavyoona barabara yangu ni mbovu – Hamisa Mobetto

Image
1 1 Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameeleza hisia zake kwa kile ambacho anapitia kwa sasa katika maisha yake. Mrembo huyo amesema licha ya magumu anayokabiliana nayo kwa sasa bado anaamini Mwenyenzi Mungu atamvusha. Kupitia mtandao wa snapchart ameandika; Bado sijafika Mw/Mungu aliponipangia na kama mnavyoona barabara yangu ni mbovu, ina mashimo, mabonde na pia matope mengi kwa hiyo safari yangu inakuwa ngumu kidogo. Lakini naimani sana na M/Mungu alonileta kwenye dunia hii, naimani ipo siku nitafika na Naimani barabara yangu hii nii mbovu ipo siku ataisawazisha na kuiweka rasmi. Nina kushukuru sana Mungu, naimani kuna vibaya vingi umeniepusha navyo na pia naimani kuna vikubwa vizuri vyaja. Na naimani hivi vyote visingenipata mimi kama ningekuwa sina u-special wowote ndani yangu. Hamisa ambaye amezaa na Diamond Platnumz mtoto mmoja aliwahi kuingia katika mvutano na Zari The Boss Lady ambaye alikuwa mpenzi wa muimbaji huyo. Hivi karibuni Hamisa amekuwa akihusishwa k...

Uongozi wa Wolper washangaa msanii wao kuhusishwa kwenye show ya Harmonize (Video)

Image
3 Baada ya msanii wa muziki, Harmonize kutangaza show yake ‘Kusi Night’ akiwa na Jack Wolper, Bongo5 ilimtafuta Wolper lakini hakupatikana na baadaye alipatikana meneja wake ambaye alikanusha taarifa hizo na kuenda mbali zaidi kwamba wao kama ofisi hawalitambui suala hilo.

Mzazi mwenzie na Shilole afariki dunia

Image
1 Mzazi mwenzie na Shilole, Elias Makala ambaye wamepata bahati ya kuzaa naye mtoto wake wa kwanza amefariki dunia ghafla huko Igunga mkoani Tabora.   Shilole amethibitisha taarifa hizo kwa kusema  Elias alikuwa mzazi mwenzie amefariki ghafla baada ya kutoka kwenye starehe usiku wa kuamkia leo ambapo amekiri kuwa alikuwa haugui. Shilole amesema kuwa marehemu alikuwa mzima wa afya na mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa ni miezi miwili iliyopita. Marehemu Elias na Shilole wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike aitwaje  Joyce Godfrey (14) ambaye pia ndio mtoto wa kwanza wa Shilole

NESTA MEDIA

Image
Music video -Stellina- Kumoyo

NESTA MEDIA

Image
Music video -Diamond ft rayvanny -Iyena

ZENJI MOVIES

Image
Ni wewe film mpya kutoka visiwani zanzibar tayari ipo madukani pata nakala yako