Posts
WASANII HAWA WATAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJA USIKU WA KIMEWAKA
- Get link
- X
- Other Apps
MTONYO AMETOA SABABU ZA KUSITISHA KUSAMBAZA FILM YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
Ishu ya umri katika mapenzi yamshangaza Zari, ‘Watu na vibabu vyenu’
- Get link
- X
- Other Apps
Zari amesema lakini jamii haishangai pindi mwanamke mdogo anapokuwa na mahusiano na mtu mzima zaidi. Kupitia mtandao wa Snapchart ameandika; Sitting here and thinking. Society is so quick to judge an older woman dating a young guy, but not a 40+ guy dating a 19 yr old. so tyical! Watu na vibabu vyenu. Utambuka Zari na Diamond wamewahi kuwa katika mahusiano na kujaliwa kupata watoto wawili na inafahamika Zari ni mkubwa kwa Diamond. Baada ya kuachana kwao hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinadai kuwa wamerudiana ila hakuna kati yao aliyethibitisha hilo. Mzazi mwenza wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameelezwa kushangazwa na jinsi jamii inavyomchukulia mwanamke mwenye umri mkubwa kuwa na mahusiano na kijana mdogo wa kiume.
Aslay afunguka siri ya kutoa hit baada ya hit na mpango kwenda Kimataifa
- Get link
- X
- Other Apps
Msanii wa muziki ambaye anafanya vizuri kwa sasa, Aslay amefunguka kuzungumzia mbinu anayotumia katika kuandika ngoma zake kutokana na nyimbo zake nyingi kufanya vizuri. Muimbaji huyo ambaye atakuwa ni mmoja kati wasanii ambao watafanya show katika Tamasha la Sport&Music Festival mkoani Mwanza, amesema katika uandishi wa ngoma zake anazingatia kuzungumzia ya watu ambao anaishi nao.
Nandy adai amekatazwa na Boyfriend wake kumzungumzia Bill Nass, kisa?
- Get link
- X
- Other Apps
Msanii wa muziki Bongo, Nandy amedai kuwa amekatazwa na Boyfriend wake kuzungumzia kile kilichotokea kati yake na Bill nass Muimbaji huyo ameiambia U-Head, Clouds FM kuwa hata alipokuwa katika media tour nchini Kenya ni kitu ambacho alikuwa anaulizwa mara kwa mara na kukiri kuwa kilikuwa kinamsumbua. “Kawaida nimefanya interview hayo maswali yalikuwepo, hakikuwa kitu kidogo kilienda mbali sana na kilinisumbua kiukweli lakini yameshapita,” amesema. “Unavyoniuliza maswali sijui ya Bill Nass nimeshakatazwa na Boyfrind wangu kuyaongelea mambo hayo,” amesisitiza Nandy. Utakumbuka April 12, 2018 Nandy na Bill Nass walikamata headlines za kiburudani Bongo hasa katika upande wa udaku kufuatia kuvuja kwa video yao ikiwaonesha wakiwa faragha. Suala hilo lilifika hadi bungeni na polisi waliweza kuwahoji wahusika.